Psalms 20:7-9

7 aWengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi,
bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu.
8 bWao wameshushwa chini na kuanguka,
bali sisi tunainuka na kusimama imara.

9 cEe Bwana, mwokoe mfalme!
Tujibu tunapokuita!
Copyright information for SwhNEN